Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,474
Reaction score
125,866
Screenshot_2018-08-04-11-29-21.jpg

Dear kipenzi changu siku zimefika, miaka …… umetimiza katika hii dunia.

Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, anayenipenda, anayeniheshimu, anayenithamini

Hongera sana kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi wa moyo wangu,
zawadi yako toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.

Happy Birthday mpenzi wangu moneytalk
 
asante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
 
Back
Top Bottom