View attachment 2006407
Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani!
Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!.
Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa ishirini,ishirini na moja.
I love you soo much honie..[emoji7]
View attachment 2006410
Ameeen πππ Lenie haachani mtu we Kama Unataka iwe hivyo ushafeli..
But ahsante na salamu hizi zimemfikia bila chenga kabisa..
Usijali nampenda mpk sioni mbele and she know that! Lakini kupitia hapa ngoja nimpe na kaujumbe kake..Ameeen π
Umpende hivyo hivyo hadi mwisho mtoto wa watu, mchango wa harusi tutatoa
Uzi wa huba bila picha ni kelele !View attachment 2006407
Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani!
Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!.
Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa ishirini,ishirini na moja.
I love you soo much honie..π
View attachment 2006410
Dah! Watu wenye wivu Sasa mmeanza!. π
Mahaba niueUsijali nampenda mpk sioni mbele and she know that! Lakini kupitia hapa ngoja nimpe na kaujumbe kake..
J wangu upunguze kudeka mama,unadeka mpk naonaga nyotanyota..π
Ili umpe experience ya kuachikaHappy birthday to her! Akuje kupokea Salamu sasa!
Ya huyo mwali mkalia iniπPicha na muziki mtamu mmeshapata mnataka nini tena..?