financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Anamaanisha mtaachana tuπMh! Mkuu sijaelewa emoj zako..!??π
Kanavoogopa kuachana π utalia sasa hiviiOhoo! Na ashindwe..
Your love nani tena mbona ghafla sanaNdo nini
Basi nipe mim nimuwishπ Never
Mim je ulikuwa unanidanganya eeHuyu ni wa maisha..
Dina wacha zako usije nisababishia nikaachwa mimi..[emoji3]
Kwani we na mshana mliishia wapi..?
Naona tule tumzimu twako tumeanza kukupanda! Labda shela la majani ya mihogo..π€£Kweli ulisemae utanioa mwezi wa 12 tukaenda hadi ulizia shela leo unamuwish mwingine tena [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mshana ndio nani mbona simfahamu[emoji23][emoji23]
Leo humjui mshana wako duh! Unajua kukana we dada upo vizuri..πKweli ulisemae utanioa mwezi wa 12 tukaenda hadi ulizia shela leo unamuwish mwingine tena [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mshana ndio nani mbona simfahamu[emoji23][emoji23]