Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Haha asante jiran..sahv ndo anajifanya kuniwish etiii toka asbuh tuko tu woteHaha you two guys you're real definition of flirts.
Happy birthday Jirani nimekumiss japo najua huyu ndugu yangu anazidi kukunenepesha tu .
Bro, nakusalimu
Kwani hauna password za hiyo I'D? Ungejiswish mwenyeweHaha asante jiran..sahv ndo anajifanya kuniwish etiii toka asbuh tuko tu wote
Hahaha,Asante my andunje, my mbilikimo my everthing....asante jf kwa ajili yako
Am proud of you
Nashukuru pia kwa kujua udhaifu wangu sijui kingereza[emoji3]
Mmmh we unamjua kabisa ndugu yako orign yake by nature tu ni wabahili tu so jiran hilo sio la kuulizaHahaha,
Hahaha... hajakupeleka English course tu hata kwa Ras simba?
Mwache aje ajibu haya mashtaka...Mmmh we unamjua kabisa ndugu yako orign yake by nature tu ni wabahili tu so jiran hilo sio la kuuliza
Ndugu yangu umepotea sanaaHaha you two guys you're real definition of flirts.
Happy birthday Jirani nimekumiss japo najua huyu ndugu yangu anazidi kukunenepesha tu .
Bro, nakusalimu
Nipo asee, naona ni bathidei ya bibieNdugu yangu umepotea sanaa
Anafuata kauli mbiu ya mkuuNdugu yangu umepotea sanaa
Kwa nini?
Huyu bibie mkorofi sana.Nipo asee, naona ni bathidei ya bibie
Nikisema nitaharibuKwa nini?