Happy birthday my only one,two inna

Happy birthday my only one,two inna

Kumbe Saint Ivuga ni andunje?mbilikimo???
Mbona anaonekana mrefu jamani

Happy birthday to you Innamoratha...maisha marefu,yenye mafanikio yawe kwako kipenzi
Hahaaha yeah ni mbilikimo
Asante joanah
 
Happy Birthday Jirani. Barikiwa miaka Mungu mbeleni.
 
Yani homeboy wangu Kaizer Unamwita mdada???

Omba radhi kabla hajaamka...

Chema kimefadhaishwa sana na hii kauli yan kichochezi. Kwakweli tutahitaji mkojo wako
Babu acha uchochezizi ameomba apo makobas ndo mana nkauliza ni mdada?
Me pia sikuzote na najua ni mwanaume
Nakuitia ivuga akupime mkojo ohooo
 
Babu acha uchochezizi ameomba apo makobas ndo mana nkauliza ni mdada?
Me pia sikuzote na najua ni mwanaume
Nakuitia ivuga akupime mkojo ohooo

Makobasi haya anavaa mwanamke??
images


CC Kaizer kwa taarifa na utekelezaji
 
Back
Top Bottom