Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee[emoji8] mrs..nani vileeHappy birthday chimamy roho ya ivuga
Asante kwa niabahappy to u inna
Asante kwa niabaHappy birthday chimamy roho ya ivuga
HAFAnyiwagi bila ruhusa yanguNingefurahi Mkuu Inna angefanyiwa Interview Leo. Muosha rungu u wapi?
Sipendi kuitwa andunje. Nasema sipendi. Kwa sababu kwetu mimi ndio mrefu kuliko wote au nenda upareni ukawaulizeAsante my andunje, my mbilikimo my everthing....asante jf kwa ajili yako
Am proud of you
Nashukuru pia kwa kujua udhaifu wangu sijui kingereza[emoji3]
Sawa andunje ntaachaSipendi kuitwa andunje. Nasema sipendi. Kwa sababu kwetu mimi ndio mrefu kuliko wote au nenda upareni ukawaulize
Unajua bana bday galAsanteee[emoji8] mrs..nani vilee
We kifutu. Nishasema sipendiSawa andunje ntaacha
Mambo. Umepata salio?Unajua bana bday gal
Sijapata nitumiepo basi salio nyingi nyingiMambo. Umepata salio?
Hujaona post moja kuwa siku hizi buku buku tu.Sijapata nitumiepo basi salio nyingi nyingi
Buku buku watumieni watoto hiyo buku najiunga nini mimiHujaona post moja kuwa siku hizi buku buku tu.
Halichachi sasa laki salio unajiunga kifurushi gani?Buku buku watumieni watoto hiyo buku najiunga nini mimi
Ha ha haaa hongela sanaAsante my andunje, my mbilikimo my everthing....asante jf kwa ajili yako
Am proud of you
Nashukuru pia kwa kujua udhaifu wangu sijui kingereza[emoji3]
Tuma kwenye mpesa nitajiunga mwenyewe mambo gani hayo ya halichachiHalichachi sasa laki salio unajiunga kifurushi gani?