Happy birthday my only one,two inna

Happy birthday my only one,two inna

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Yani kwa vile hujui kingereza inabidi niandike kwa kiswahili.
Toka asubuhi tulikuwa wote japo hukutaka hii keki niipige picha ila huwezi kunizidi ujanja.
nakuwish happy birthday my babe ... maisha mema na mazuri
kikubwa nakuombea uwe na amani moyoni
happy-birthday-chocolate-cake-for-Inna.
 
Back
Top Bottom