Wish you a very happy birthday Mzee wa Rula
May life lead you 2 great happiness
success and hope that
all your wishes comes true!
enjoy your day
CC Arushaone, Blaki Womani, Preta marejesho, Filipo, Kaizer, PakaJimmy lilyflower, Arabela, Mwanyasi, Dark City, CHUAKACHARA, YNNAH, LiverpoolFC, Erickb52 and all ARUSHA WING
Hivi Mr. CHUAKACHARA na YNNAH ni Arusha Wing?
Wow.......! happy birthday mkuu Mzee wa Rula,
ahsante sana KOKUTONA kwa kutufahamisha! sherehe wapi sasa maana jioni nitakuwa babylon na Erickb52 leo
Hivi Mr. CHUAKACHARA na YNNAH ni Arusha Wing?
Birthday baby Mzee wa Rula atachagua mwenyewe wapi tufanyie...niko njiani na SAIBABA ya NRB nakuja
Happy B/day kamanda....
Babu DC!!
Yeah wapo kule muda mrefu sana!Hivi Mr. CHUAKACHARA na YNNAH ni Arusha Wing?
mkuu pati litafanyika wapi? au pale kibo palace?Madame B we dondosha ma wishes yangu achana kama ni Arusha Wing au laaah! By the way siku ya leo itakuwa tamu sana maana baadae kutakuwa na bonge la pati.
Nashukuru kaka leo Arusha Wing mambo ni bam bamAisee...kumbe leo beside! Happy birthday to you Mzee wa Rula