Happy birthday mzee wa rula...cant wait the party tonoght

Happy birthday mzee wa rula...cant wait the party tonoght

Aisee,
Hii ni surprise ya hatare!
Imekuwaje hadi siku hii ikaendana na yale mambo tuliyopanga leo Jumamosi?
Mkuu wetu Mzee wa Rula, hakikisha unajaza uko kamili bana...mimi pochi naiacha nyumbani kabisaaaa!

HAPPY BIRTHDAY TO YOU!
Ndiyo maana nikasema mambo iwe leo maana nilikuwa najua. Mengine niachie kamanda tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mzee wa Rula, uishi miaka 800-10+10 bila mvi wala makunyanzi... Keki yangu naomba mpe njiwa aniletee tafadhali
 
Last edited by a moderator:
You should've told me before, hakika ningekununulia pampas tukuvishe kwenye ile party ya leo jioni!! (kama nitakuwa nina nafuu) Ingependezaje mkuu...!!

View attachment Mzee wa Rula.docx


Long Live Kamanda!!!!!!!!!!!
​
 

Attachments

  • Birthday_candles12.jpeg
    Birthday_candles12.jpeg
    106.1 KB · Views: 38
Wa Rula hongera!
Aza waiz endelea kuwapiga mimba kadri uwezavyo!
Siku ndo zinakuacha kila kukicha!
Hakiki unaacha duniani mimbegu ya kutosha.

Looool, shemejii....kwa hiyo hii habari waifanya sana eti???

 
Aisee.....ntaomba mrejesho tu mkuu wangu...mwangalie sana Filipo, atataka atoroke aende Moshi 'kwa ndugu yake' Kumbe anamfata Arabela.

Mbona alishaenda ahsubuhi hii....na habari nilizonazo tutakuwa naye leo kunako maeneo ya bethi dei


 
Back
Top Bottom