Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,361
Wa Rula hongera!
Aza waiz endelea kuwapiga mimba kadri uwezavyo!
Siku ndo zinakuacha kila kukicha!
Hakiki unaacha duniani mimbegu ya kutosha.
Ndiyo maana nikasema mambo iwe leo maana nilikuwa najua. Mengine niachie kamanda tehe teheAisee,
Hii ni surprise ya hatare!
Imekuwaje hadi siku hii ikaendana na yale mambo tuliyopanga leo Jumamosi?
Mkuu wetu Mzee wa Rula, hakikisha unajaza uko kamili bana...mimi pochi naiacha nyumbani kabisaaaa!
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!
Umesomeka.
Poa.
Happy birthday Mzee wa Rula, uishi miaka 800-10+10 bila mvi wala makunyanzi... Keki yangu naomba mpe njiwa aniletee tafadhali
Lady doctor salamu zako zimefika ikifika muda wa kumi jioni ukiona njiwa usifikiri mambo ya Bagamoyo ujue ndiyo keko yako ibakuja
Karibu nawe nakutumia namba za ticketi za Fastjet kwenye PM.
We tuna, nakuja fasta.
happy birthday to you!
You should've told me before, hakika ningekununulia pampas tukuvishe kwenye ile party ya leo jioni!! (kama nitakuwa nina nafuu) Ingependezaje mkuu...!!
Looool, shemejii....kwa hiyo hii habari waifanya sana eti???
Wow.......! happy birthday mkuu Mzee wa Rula,
ahsante sana KOKUTONA kwa kutufahamisha! sherehe wapi sasa maana jioni nitakuwa babylon na Erickb52 leo