Happy birthday mzee wa rula...cant wait the party tonoght

You should've told me before, hakika ningekununulia pampas tukuvishe kwenye ile party ya leo jioni!! (kama nitakuwa nina nafuu) Ingependezaje mkuu...!!

View attachment 119424




Long Live Kamanda!!!!!!!!!!!
​

Ujikokote tuwe pamoja kwenye sherehe hii....nitakubebea mkoti,majacket na ma blangeti.

Get well soon Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mzee wa Rula uishi miaka mingi ijayo
acha nikupe zawadi ya mdoli sijui kama utaupenda

 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mzee wa Rula
Hope Mungu yu mwema kila wakati.
Nakuombea maisha marefu na ya furaha siku zote.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…