Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri jina full ,au account # nitume senti hz View attachment 803109
huyu Mzigua atakua dada moja anaitwa Seven...Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] never had a sister to share but your always there for sharing [emoji8][emoji8][emoji8] mwenye moyo wa dhahabu.
Nakupenda tu mm Yesu azidi kukutunza jamani si unajua we ndio kila kitu eenh
Jamani napokea zawadi za bday girl pm yaani pm mahela ndio muhimu
Hahaha ikawaje sasa?Hahah muongo ndio halafu kuna siku nimefungua pm kabisa yan nataka kukupm
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hauko nyuma [emoji23] [emoji23]Kaka angu mm jamani mpaka leo haujampora tu mwenye mbebez wake [emoji16][emoji16]
Hahaha wewe ni mchaga?Kumbe ni mparee..kiruuu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ngoja nijaribuThe door is opened jus' for yah[emoji23]
Kweli kabisaEeenh sema kweli
[emoji23] ina maana hujuiEeenh