Happy birthday Mzigua90

Happy birthday Mzigua90

Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] never had a sister to share but your always there for sharing [emoji8][emoji8][emoji8] mwenye moyo wa dhahabu.

Nakupenda tu mm Yesu azidi kukutunza jamani si unajua we ndio kila kitu eenh

Jamani napokea zawadi za bday girl pm yaani pm mahela ndio muhimu
huyu Mzigua atakua dada moja anaitwa Seven...
 
Back
Top Bottom