Kheri ya kuzaliwa binti wa kiTanga.. Mwenyezi Mungu akuja'alie ne'ema ndogo ndogo na ne'ema kubwa kubwa Mzigua90
Happy Birthday to you Mzigua
Asanteni wakuuHappy birthday Mzigua90 Mungu akupe maisha marefu na akujaalie furaha, akuepushe na kila yenye shari na akujaalie yenye kheri [emoji8][emoji8][emoji8]
Cake tunakata Dodoma mkweNasubiri keki
Acha tuu. Hii heniova sijui nasafiri nayo vipiNaona ndio unafufuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nimeshangaa
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.
Happy birthday mama Li [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nitarudi acha niendelee na lindo babe.
Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa [emoji4]
Ni wivu tuu!Asante mkuu Wananiambia eti sina chura
Asante mkuuHeri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wa kizigua
Yaani huu umri uliofika sasa mtu akioa anaoa MKE kweli.[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wivu tuu!
Na mm pia Don
Mchumba unazeeka vibaya. Shunie katokea wapi sasa?
Nakuzeesha tu khaa.Lol.. sijafika huko bado mkuu [emoji23][emoji23]
Kumbe hukumbuki babu naye ya kwake leo? Amenituma nikueleze anavyokumiss. NdukiHahahahahhaaaa.. Asante mkuu. Babu jela leo napokea zawadi kupitia wakala lakini
Na mie jamaniHappy bday mkwe wa ukweli mzuri mzuri uishi miaka mingii...msiniache kwenye mishikaki@shunie