Happy Birthday Mzigua90

Happy Birthday Mzigua90

Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wa kizigua
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.

Happy birthday mama Li [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nitarudi acha niendelee na lindo babe.

Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa [emoji4]

 
Back
Top Bottom