Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Aisee sijui nilikuwa wapi jana ......hope kuna cake imebaki kwa madada kama sie

Happy Birthday my dear
Mungu akuongezee miaka mingi yenye amani na furaha
uwe mama wa hekima kama Sara
 
Naona giza tu kwakweli mimi
C'mon [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] anyway ngoja nikupe muda utafakari kwa amani kabisa,
yote nataka uamini kama umekutana na super man mzee mwenzie acha nikumbukie enzi zetu tunatongoza miaka 3,
Ndivyo waoaji wakweli huwa.
 
Ha haa umenikumbusha,I wish Nifah atwambie ilichukua muda gani kumkubalia The bold...

Hebu muulize basi
 
Happy Birthday Dada Nifah.... Mungu akujalie Maisha marefu sana Huko mbeleni.

Hivi unajua mimi na UncleBen ni kaka zako wa Damu kabisa? Tungependa damu irudi nyumbani lakini naona mmegandana na huyo chalii.

Nasi hatuna budi kuwatakia kila lililo la kheri na Mungu awazidishie mbeleni.

Metamayana indai Engai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…