Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yeah.! Kwenye taglist she is the first.. Si unajua tena, yeye ndio first thought linalonijia nikifanya chochote
Mkuu habari
 
Nifah kulikoni tena Shemela wetu The Bold kala tena Umeme ( BAN ) ya fasta fasta hivi? Kumbe Mimi na yeye hatuchekani kwa kuwa Red Carded humu JF? Pole sana Dada yangu. Mods wa sasa wananyoosha tu hawataki ' janja janja ' na ' shobo '.
Wasalimie.. Wakumbushe kwamba,

Huwezi kumuua chura kwa kumtupa ndani ya maji.... Ndio maana wenzao walioitia umasikini Africa leo wanajuta kwa yanayowasibu.!

Alafu naishi kama Pablo, so wasinitegemee kupiga goti kama PNC.!!

They can support me or watch me achieve my dreams by myself!!

Watch this space...
 
Finally u'r back shemela[emoji4]
 
Back
Top Bottom