Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Dah brother The Bold naona umejipatia papuchi ya kukuliwaza daily ongera banaaaaaa
 
Sijui imekuwaje sijaiona hii post eti ndio naina leo.
Happy birthday Nifah japo nimechelewa.
 
Namsahaulisha asijeleta mwenza hapo baadae [emoji4]
Na unanisahaulisha haswaaaaa...
Mpaka nakumbuka mistari ya wimbo wako wa "Somo";

"mwali fundi akizungusha mashallaaaaah...
mpishi hodari hajui kuunguza mashallaaaaah.."
 
Uwiiiiiiiiiii kumbe umeshaushika mistari yake kichwa? [emoji15] [emoji87]

Ila kwanini hapo tu? [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
yani hapo nimepashika fastaaaaa... Panakuhusu sanaaaa [emoji23] [emoji4]

"mwali fundi akizungusha mashallaaah.."

Awwwww 100% you [emoji4]
 
Back
Top Bottom