Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #81
Umeona shemeji.. Nataka dada'ko akute walau kijighorofa na Vogue imepakiHhahha tumpe mda anajichanga dada akute ghorofa tayari
Japo sikufahamu bt hainizuiii kushare nanyi siku hii muhimu wa mwana jf mwenzetu Niffa,,Ubarikiwe popote pale ulipo na baraka hzi zikufanye usamehe yte wakiokukwaza hapa jamvin nao naiman wamekusamehe kwa namna moja au nyingine kama jliwakwaza kwa mitazamo tofauti... Kwa sababu Bold ni mwanaume bas niseme tu Happy Born Day Shemelaaa...
Usisahau tu kwamba umezaliwa ukiwa na umri wa miezi tisa usiache kuujumlishia hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Happy B day shemela Nifah...ila si kwa sifa hizo Mkuu The Bold...utafanya watu tuwe Mafia
Ati wasema [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mi nikajua nayo ni hadithi kumbe birthday wish ya kweli...dah! sasa nimeelewa kwnn mtoto nifah anakuwa mgumu na ombi langu la namba huko PM,sio kwa mapenzi haya!
Ameeeenn! Cheeerrsss..Pamoja mkuu..
Ulinde hako katoto tuu mkuu..
Muwe na siku mubashara! Baadaye tutajumuika wote [emoji485][emoji485]
Ila wewe dada unachofanya sio kitu kizuri,mapenzi gani anamgegeda mwaka wa tano huu hata mahari hatoi jamani?
Usijali njoo kanisa la ufufuo na uzima, kanisani kwetu ukihudhuria wiki 2 tu unalipata hilo ghorofaUmeona shemeji.. Nataka dada'ko akute walau kijighorofa na Vogue imepaki
ukweli unaumaIla wewe dada unachofanya sio kitu kizuri,
Tumia hekima na busara mkuu,
Imani zetu hazifanani,
Hivyo basi kila mtu anahaki ya kuishi atakavyo(freedom to live as you wish),
Binafsi nimekuwa bored kwa kweli,
Mwanzoni nilijua labda ni utani tu,
Anyway,
Endapo nitakuwa nimekuudhi kwa kukuambia ukweli forgive me mkuu.
hahahahahahahakuna muoaji hapa jamaa blah blah tu huyu nifah nae akiona huu ujumbe chupi mkononi ! ni kugegedwa kwa mkopo mwazo mwisho cc@miss chaga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hakuna muoaji hapa jamaa blah blah tu huyu nifah nae akiona huu ujumbe chupi mkononi ! ni kugegedwa kwa mkopo mwazo mwisho cc@miss chaga
Hahahahahha daaah! Haya bhanaBwanaaehhhhh huyu jamaa anatufanya wengine tuwe wanaume chini tu,
Hili si gazeti hili ni jarida,
Kanisani kwenu mnafundishwa vichambo tu na ushushushu..Usijali njoo kanisa la ufufuo na uzima, kanisani kwetu ukihudhuria wiki 2 tu unalipata hilo ghorofa
Nimekuweka kiporo.. Lro nisiharibu bday ya mamsapu..ukweli unauma