Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Japo sikufahamu bt hainizuiii kushare nanyi siku hii muhimu wa mwana jf mwenzetu Niffa,,Ubarikiwe popote pale ulipo na baraka hzi zikufanye usamehe yte wakiokukwaza hapa jamvin nao naiman wamekusamehe kwa namna moja au nyingine kama jliwakwaza kwa mitazamo tofauti... Kwa sababu Bold ni mwanaume bas niseme tu Happy Born Day Shemelaaa...

Ubarikiwe sana..

Usisahau tu kwamba umezaliwa ukiwa na umri wa miezi tisa usiache kuujumlishia hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Oyaaa! Acha kumzeesha mamsapu.. Bado kabichiiiiii [emoji23] [emoji23]
 
Mi nikajua nayo ni hadithi kumbe birthday wish ya kweli...dah! sasa nimeelewa kwnn mtoto nifah anakuwa mgumu na ombi langu la namba huko PM,sio kwa mapenzi haya!
Ati wasema [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Unapafahamu mabwepande?? Mto ruvu??
 
mapenzi gani anamgegeda mwaka wa tano huu hata mahari hatoi jamani?
Ila wewe dada unachofanya sio kitu kizuri,
Tumia hekima na busara mkuu,
Imani zetu hazifanani,
Hivyo basi kila mtu anahaki ya kuishi atakavyo(freedom to live as you wish),
Binafsi nimekuwa bored kwa kweli,
Mwanzoni nilijua labda ni utani tu,
Anyway,
Endapo nitakuwa nimekuudhi kwa kukuambia ukweli forgive me mkuu.
 
Ila wewe dada unachofanya sio kitu kizuri,
Tumia hekima na busara mkuu,
Imani zetu hazifanani,
Hivyo basi kila mtu anahaki ya kuishi atakavyo(freedom to live as you wish),
Binafsi nimekuwa bored kwa kweli,
Mwanzoni nilijua labda ni utani tu,
Anyway,
Endapo nitakuwa nimekuudhi kwa kukuambia ukweli forgive me mkuu.
ukweli unauma
 
hakuna muoaji hapa jamaa blah blah tu huyu nifah nae akiona huu ujumbe chupi mkononi ! ni kugegedwa kwa mkopo mwazo mwisho cc@miss chaga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseeee!! Mgegedo wa mkopo
Tu hakuna otherwise
 
Back
Top Bottom