Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Tuko pamoja broNitakupost mdogo wangu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja broNitakupost mdogo wangu..
Thank you Bold,thank you my love.
Siku yangu leo ilianza vibaya sana,nashukuru kwa muda ulioutumia kunituliza mpenzi wangu.
Hakika umenisaidia sana,umejua kucheza na saikolojia yangu hadi nimeona yaliyotokea ni mambo ya kawaida.
Kila kukicha umuhimu wako unazidi kuongezeka katika maisha yangu,namshukuru Mungu kila sekunde kwa ajili yako Bold.
Bila wewe sijui maisha haya yangekuwaje babes...
Asante kwa kila ufanyalo kwa ajili yangu,umejisacricifice kwa mambo mengi sana juu yangu...kiasi nikiyasema hapa watu watabaki midomo wazi...ni ajabu kwa mtu kuwa na imani katika mapenzi na mpenzi wake kiujumla kama ufanyavyo wewe kwangu,ndio maana nami nalipa yote unifanyiayo kwa upendo.
Kama nikuambiavyo kila siku,kila ufanyacho kwa ajili yangu kina maana kubwa sana,hata kama ni kidogo kiasi gani kwangu maana yake ni kubwa kuliko...kwa sababu umefanya wewe Bold wangu.
Asante tena kwa mapenzi yako baba...I can't wait to leave my life with you my soulmate
I love you Bold [emoji8]
BTW siwezi kusubiri kwa ile birthday 'party' uliyoniandalia baby [emoji39]
Bebe luv umezaliwa siku ya wajinga[emoji23] [emoji23]Happy birthday shemela Nifaah....
Msinisahau kwenye kula ubwabwa.
1st April ni HBD yangu sijui nitapata wa kunipost na mm
Noted bebeHahaaaaa nitamuomba Joa anifanyie
Asijali [emoji2]Walahi joa inabidi afanye mambo..
Ni miezi mitano sasa tuko pamoja.. Bado nakumbuka vividly kabisa siku ya kwanza tumeonana, I remember how pure it was.. Nakumbuka namna wote tulivyosafiri kilometa nyingi sana, just to get a chance to spend a few hours together.. just to spend a night together!
And since that day, the happiest days and the best days ni zile ambazo nimespend na wewe Cheupe wangu, na best nights zimekuwa ni zile ambazo nimelala Cheupe ukiwa ubavuni mwangu.. Na asubuhi njema zaidi ni zile ambazo I woke up to your beautiful face..
Thank you for bringing this unique happines katika maisha yangu.. Thank you for making this life meaningful.!
That is why when I get old.. And look back, and ask myself, did I loose? Or did I win??
Najua we will never loose, Mungu yuko upande wetu, Inshallah..
And if I win, then I want to win for something I really care about, something I really love.. I want to win for you, and because of you!
I promise you.. We will get old together.. And we will fly together! And shine together, Inshallah..
HAPPY BIRTHDAY to the most beautiful creature on the whole planet earth.. HAPPY BIRTHDAY Nifah..!!
Nakupenda sana Cheupe..
HaahhThis is great.. Daaahh umejua kumtesa kijana wangu Mondray.. Afadhali sasa walau nimefurahi
Cheeers [emoji485][emoji485][emoji485]Ah ah ahhhh umetisha sana kwa Avatar kaka,hadi nilishtuka nikasema ni mheshimiwa sana Nape kaniwish nini?
Hahahaaaa
Thank you my dearest brother,barikiwa sana mkuu.
From nowhere tumekuwa family sasa,am happy being your sister.
Cheers [emoji485]
(Hope uko sehemu unazigonga sana hahaha )
Hahaha.! I know love.. Najua unakipenda namna unapenda hiki kifua [emoji3]Thubutuuuuuu kwa mtumbo ule wa Le akiliz (hizi sifa anazojipa hahahaaaaa) siutaki,na unalijua hilo vyema honey [emoji6]
Nitashukuru sana kama utanijali kiasi hichoNoted bebe
Lazima nikupost
Usiku mzima wa jana nimekuwa nafikiria niandike nini au nikwambie nini katika siku yako hii muhimu..! I just can't seem to find the right words to say..
Badala yake nimejikuta nafikiria mbali sana sana.. When I get old, uzeeni mwangu.. alafu nikiangalia nyuma katika maisha yangu yote, lazima nitajiuliza swali, did I win?? Or did I loose?
Its a difficult question..
Binadamu wote we see ourselves as heroes to our own lives..
But the truth is, there are no heroes.! We are just humans, we are just people trying to do the best that we can..
That is the reason why we all need something special that connects us to the rest of the world, something that gives us a purpose..
Thank you Nifah for being that.. For being that special woman who connects me to the rest of the world, for making this life have a purpose.. And for making this whole life worth living..
Ni miezi mitano sasa tuko pamoja.. Bado nakumbuka vividly kabisa siku ya kwanza tumeonana, I remember how pure it was.. Nakumbuka namna wote tulivyosafiri kilometa nyingi sana, just to get a chance to spend a few hours together.. just to spend a night together!
And since that day, the happiest days and the best days ni zile ambazo nimespend na wewe Cheupe wangu, na best nights zimekuwa ni zile ambazo nimelala Cheupe ukiwa ubavuni mwangu.. Na asubuhi njema zaidi ni zile ambazo I woke up to your beautiful face..
Thank you for bringing this unique happines katika maisha yangu.. Thank you for making this life meaningful.!
That is why when I get old.. And look back, and ask myself, did I loose? Or did I win??
Najua we will never loose, Mungu yuko upande wetu, Inshallah..
And if I win, then I want to win for something I really care about, something I really love.. I want to win for you, and because of you!
I promise you.. We will get old together.. And we will fly together! And shine together, Inshallah..
HAPPY BIRTHDAY to the most beautiful creature on the whole planet earth.. HAPPY BIRTHDAY Nifah..!!
Nakupenda sana Cheupe..
Thank you sir [emoji120]
Awwwwwwww thank you my big,dearest broh.
Asante kwa kunijenga kisiasa,nilijifunza na bado najifunza mengi kupitia wewe.
Ubarikiwe
Thank you my dear,ila hiyo siku yako ya kuzaliwa hahaha
Thank you my dearest cousin,asante kwa support kubwa unipayo,nakuheshimu sana [emoji120]
Now its time for your "birthday party"!Asante sana mkuu,ubarikiwe zaidi