Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy birthday mpenzi wangu Nifah mungu akujalie Maisha malefu yenye Baraka tele
 
Maneno flani hivi so emotional during the time of reading and seeing all the words The bold wrote.
Ndo utakuta binadamu Ana fanya maamuzi ambayo logically yanakuwa hayaeleweki kwa wana jamii wengi
You truly the writer The bold
 
Better late than never. Me nakuombea mambo yafuatayo
1. Hofu ya Mungu
2. Afya njema
3. Upendo (wa familia, ndugu , jamaa na bwa shem)
4. Amani ya moyo
5. Kibali mbele ya Mungu na wanadamu

Nakuombea baraka zote za rohoni na mwilini. Usipungukiwe kwa jambo lolote. Akakupe nguvu, busara, hekima na Uvumilivu hata unapopita katika gumu lolote (majaribu ni mtaji, hayaepukiki). Mungu akazidi kukuinua from Utukutu to Utukutu; Yes akakuinue juu ya mataifa yote. It shall always be well with you, Inshallah. Oops nilitaka kusahau teh, may your current biggest dream[emoji183] [emoji183] turns into your biggest reality. May you live to a ripe old age
 
Better late than never. Me nakuombea mambo yafuatayo
1. Hofu ya Mungu
2. Afya njema
3. Upendo (wa familia, ndugu , jamaa na bwa shem)
4. Amani ya moyo
5. Kibali mbele ya Mungu na wanadamu

Nakuombea baraka zote za rohoni na mwilini. Usipungukiwe kwa jambo lolote. Akakupe nguvu, busara, hekima na Uvumilivu hata unapopita katika gumu lolote (majaribu ni mtaji, hayaepukiki). Mungu akazidi kukuinua from Utukutu to Utukutu; Yes akakuinue juu ya mataifa yote. It shall always be well with you, Inshallah ( nilitaka kusahau teh, may your current biggest dream[emoji183] [emoji183] turns into your biggest reality)
Maneno ya pacha mtu hayoo[emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] BTW ushawahi kufanya kazi na bi chau? si kwa kufunda huku
 
Better late than never. Me nakuombea mambo yafuatayo
1. Hofu ya Mungu
2. Afya njema
3. Upendo (wa familia, ndugu , jamaa na bwa shem)
4. Amani ya moyo
5. Kibali mbele ya Mungu na wanadamu

Nakuombea baraka zote za rohoni na mwilini. Usipungukiwe kwa jambo lolote. Akakupe nguvu, busara, hekima na Uvumilivu hata unapopita katika gumu lolote (majaribu ni mtaji, hayaepukiki). Mungu akazidi kukuinua from Utukutu to Utukutu; Yes akakuinue juu ya mataifa yote. It shall always be well with you, Inshallah. Oops nilitaka kusahau teh, may your current biggest dream[emoji183] [emoji183] turns into your biggest reality. May you live to a ripe old age
Nimecopy na mi nijitumie haya maneno siku ikifika 🙂
 
Hahahaaaa usijali twin,hata hivyo ni muda mrefu sana sijakuona.

Ngoja nimalizie list...waje na geniveros kabisa [emoji12]
Yani nimeingia tu kama bahati, sijasoma hata comments zote, kumbe na hao wapendwa hawajapita. Nipo twin, nina kauvivu kakutype siku hizi na hivi shurti niandike gazeti haha , basi naishia tu kusoma zaidi
 
Happy birthday nifah kumbe it's possible to go beyond our fake I'd eeh
 
Back
Top Bottom