Better late than never. Me nakuombea mambo yafuatayo
1. Hofu ya Mungu
2. Afya njema
3. Upendo (wa familia, ndugu , jamaa na bwa shem)
4. Amani ya moyo
5. Kibali mbele ya Mungu na wanadamu
Nakuombea baraka zote za rohoni na mwilini. Usipungukiwe kwa jambo lolote. Akakupe nguvu, busara, hekima na Uvumilivu hata unapopita katika gumu lolote (majaribu ni mtaji, hayaepukiki). Mungu akazidi kukuinua from Utukutu to Utukutu; Yes akakuinue juu ya mataifa yote. It shall always be well with you, Inshallah. Oops nilitaka kusahau teh, may your current biggest dream[emoji183] [emoji183] turns into your biggest reality. May you live to a ripe old age