Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Napokea kwa niaba yakeHappy birthday kwake. Ni mojawapo ya watu wachache sana humu ambao sijawahi kosa thread zao hata moja.
Happy Good Day kaka mkubwaTarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.
Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
HBD Kwa Brother Pasco.Tarehe kama hii yani 08/04/1968 alizaliwa mwanasheria, mwanahabari na mchamuzi nguli Pasco Mayala.
Happy birthday to you Pasco Mayala. Mola akupe maisha marefu yene HERI na BARAKA.
hahaha saizi ni mzee wa kusujudu na kuabudu 😁😁Pascal Mayalla a.k.a yuda escarioti