Happy Birthday Pascal Mayalla

Happy Birthday Pascal Mayalla

Happy birthday paskali mbaba handsome, toka nipo mdogo namuona tu kwenye kiti moto, mpaka leo nimekuwa mtu mzima baba hazeeki huyu...

Yesu akutunze [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda
 
Happy birthday mkuu Mayalla. Moja ya watu nawaelewa sana hapa JF.

Mungu azidi kukupa afya njema na umri mrefu.
 
Happy birthday Ngosha wa Magufuli

Nakumbuka sana enzi hizo ukija mitaa ya Mwenge kumzengea dada yetu....

Barikiwa na uwe na maisha mema na marefu
 
Kidogo tu ungezaliwa siku ya wajinga unayopenda kuisherekea kwa kutufanya wajinga.
Happy birthday "Mayala mwenye njaa" japo umeshiba na kitambi juu.
 
Back
Top Bottom