Mkuu
Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili, japo mwaka umekosewa ila tarehe yenyewe ni sawa.
Ila pia Birthday yangu ime coincide na birthday ya last born wangu ambae nae anayeitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu
https://www.jamiiforums.com/threads...inevyo-ni-kubebesha-watu-mizigo-yako.1972184/
Hivyo leo ni
Happy Birthday to Pasco Mayalla Snr
Happy Birthday to Pasco Mayalla Jnr
Kuna watu wanaamini it's just a coincidence, imetokea tuu, lakini naomba niwahakikishie some coincidences, mtu unaweza kuzi coincidencesisha kwa kutumia manifestation kwa kutumia kauli umba!.
Kauli umba ni kuitumia wish au kauli kukuumbia jambo lako.
Unawe kutembelea uzi huu ukaangalia baadhi ya kauli umba zangu
https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/
NB. Sio lazima kila utakachokiumba kwa kauli umba ni lazima kitokee, kauli umba nyingine huwa zina goma!. Mfano ile 2014 niliposema
https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/
Halafu 2015 nikabadili mawazo na kusema
https://www.jamiiforums.com/threads...ulu-kiongozi-tunayemtaka-mdomo-huumba.951114/ ile kauli umba ya 2014 ndio ilitiki, ile ya 2015 iligoma!.
Nguvu hizi na uwezo wa kusema kitu na kikatokea ni kila mtu anao, ila kuna wengi hawajitambui kuwa wanazo nguvu hizi
Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu...
Happy Birthday me
Happy Birthday PiiJei (Pasco Jnr)
P