Happy birthday Paw

Happy birthday Paw

Huyu Paw anatukana kweli? Sijawahi ona comment yake, uko chama gani bw/bi Paw? [emoji4][emoji4]
Hbd
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Moja tu imenitosha mkuu yaan nina likes tele ila ya paw haikuwepo,nawait birthday day ya mod mwingine nipate like yake.
Umechelewa watu tushajizolea kitambo, Paw ongeza like nyingine tena hapa
 
Moja tu imenitosha mkuu yaan nina likes tele ila ya paw haikuwepo,nawait birthday day ya mod mwingine nipate like yake.
Kweli kupata like ya Mod kuna raha fulani ivii.

Hadi sasa nina like za mod 5, wengine bado wamenichunia...
 
HBD ndugu moderator.

Kongosho na King’asti wamepotelea wapi?
 
Back
Top Bottom