Wewe Dinazarde ebu achana na hizo team mavi mavi njoo huku, hizo team mahali pake uko instagram sio huku.
Aya ebu nipe umbea kwanza, ivi Jana penny alikuwepo pale mlimani kwenye utoaji wa tunzo au?? Maana sijaangalia Jana , na wolper alikuwepo??
mmh masikini peny pamoja na kumrekodi wema kipindi kile na kumsambaza kwenye mitandao na kumwambia awaache mlale lakini bado diamond amemrudia.......happy born day anyway
Ivi Jana alikuwepo ktma??
Kalikuwa kanajishau sana , kiingereza kwa wingi ooh tuache tulale kubabeki tupa kulee, ndomo sio mtu mzuri kabisa binamu , ila naona kashakubal hali halis, kawa mpole mwenyewe kubabekiii..
Wewe Dinazarde ebu achana na hizo team mavi mavi njoo huku, hizo team mahali pake uko instagram sio huku.
Aya ebu nipe umbea kwanza, ivi Jana penny alikuwepo pale mlimani kwenye utoaji wa tunzo au?? Maana sijaangalia Jana , na wolper alikuwepo??
mmh masikini peny pamoja na kumrekodi wema kipindi kile na kumsambaza kwenye mitandao na kumwambia awaache mlale lakini bado diamond amemrudia.......happy born day anyway
Ivi Jana alikuwepo ktma??
What goes around comes around. Wema alianza na Diamond before Diamond hajawa star. So Penny awe mpole. a