Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Dinazarde ebu achana na hizo team mavi mavi njoo huku, hizo team mahali pake uko instagram sio huku.
Aya ebu nipe umbea kwanza, ivi Jana penny alikuwepo pale mlimani kwenye utoaji wa tunzo au?? Maana sijaangalia Jana , na wolper alikuwepo??
sa Wema anashindwa nini kuwa mpole kwa Kajala........
We miss uchokozi huo , nn sasa?
Yaan Penny alivyoachwaa na Dai kawa mzurii na mremboo duuu
Yaan mi wasanii wakae mbali na mie yaan wamegeuzwa farasi wanapandwa kwa zamu na wanafurahi kwelii
Ila ndio hivyo wanapokezanaa maumivuu
Penny mjinga kweli alimwamini sana Diamond,na kipindi kile anamrecord Wedimond,wema na diamond walikuwa wanaonana vizuri,eti yeye akajidai kumrecord wema ili ionekane wema anajipendekeza kwa Diwema,,Penny alifikiri anayo ya dhahabu eeeh kumdhalilisha mwanamke mwenzake namna ile.mmh masikini peny pamoja na kumrekodi wema kipindi kile na kumsambaza kwenye mitandao na kumwambia awaache mlale lakini bado diamond amemrudia.......happy born day anyway
Hakuna cha urembo pale,hiyo ni phototouch tu,nilikutana nae mlimani city,wa kawaida tu huyu Zakayo
iaka mingapi tuambie kabisa
Hhhahhhhajjha kumbee kwa hiyo Wema mzuri zaidiii
Kachokozi hakoo kalikua kanamchonokoaa Lara kakiona moto umepunguaa kanatia petrol halaf kamemficha Excel sio mtu mzuri kabisa miss neddy
Naona uzi wa miss neddy umetolewa , safi sana ma mods timu za ajabu ajabu uko instagram , Jamii forum hakuna team humu
Naona binamu ulikuwa unajua warumi lazima ban imuhus Jana , hihiiii nilijipanga wewe , humu team wema wapo kibao , ingawa nilijitahid kusimama mwenyewe at least it was not bad , maana wangenizid sana nguvu humu ningehama kwa aibu.
Wewe nae mbayaaa binamu, sio mtu mzuri kabisa , Jana nilikuona una like comment zao sema nkajikaza tu mwenyewe nkajifanya sijakuona
Naona uzi wa miss neddy umetolewa , safi sana ma mods timu za ajabu ajabu uko instagram , Jamii forum hakuna team humu
Naona binamu ulikuwa unajua warumi lazima ban imuhus Jana , hihiiii nilijipanga wewe , humu team wema wapo kibao , ingawa nilijitahid kusimama mwenyewe at least it was not bad , maana wangenizid sana nguvu humu ningehama kwa aibu.
Eti 22 kamuiga sepetunga
Ma mods hawatak team mavi mavi humu binamu , huyo matola anahangaikaga na warumi bure ,matola mngese tu , Mimi humu hakuna ninayemuogopa, na hayo mashombo anayoongea hakuna hata moja jpya ambalo sijawah kusikia.
Ivi kuna mtu ambaye ametukanwa humu kama warumi?? , ndo maana siogopag coz najua matus yote so nimeyazoea binamu , labda kwako kama ni mapya.
Sasa kilichomfanya mapovu yamtoke kitu gani ?? Yaan warumi anamtoa jasho kias hcho?? Aaaah aaah ataisoma namba mwaka huu, Mimi bado nipo sana humu binamu, matola kwangu ni .....tu mi ndo nakwambia.
Hakuna maneno ambayo yamechapwa yakawa mageni kwangu kuyasikia , in short akajipange , Mimi nipo kama unavyoniona neddy , miaka miaa
hahahaha sasa mbona unaogopa kumtaja Matola kwa link ukiona unapakwa shombo ujue kuna sehemu haiko sawa rekebisha panaporekebishika kama unajiona humuogopi mtu pia hakuna anaekuogopa pia Mods wamefuta uzi kukustiri tu aibu ikuepuke lol