Happy birthday Penny

Wewe Dinazarde ebu achana na hizo team mavi mavi njoo huku, hizo team mahali pake uko instagram sio huku.

Aya ebu nipe umbea kwanza, ivi Jana penny alikuwepo pale mlimani kwenye utoaji wa tunzo au?? Maana sijaangalia Jana , na wolper alikuwepo??

Binamu nishatiaa maguuu halaf mi sina team nilikua napunguza malumbano yapoee siku hiz nipo kavivu binamu, hawakuwepoo maana najuaa angezomewaa na team Wemaa
 
Last edited by a moderator:
We miss uchokozi huo , nn sasa?

Kachokozi hakoo kalikua kanamchonokoaa Lara kakiona moto umepunguaa kanatia petrol halaf kamemficha Excel sio mtu mzuri kabisa miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Yaan Penny alivyoachwaa na Dai kawa mzurii na mremboo duuu
Yaan mi wasanii wakae mbali na mie yaan wamegeuzwa farasi wanapandwa kwa zamu na wanafurahi kwelii
Ila ndio hivyo wanapokezanaa maumivuu
 
Yaan Penny alivyoachwaa na Dai kawa mzurii na mremboo duuu
Yaan mi wasanii wakae mbali na mie yaan wamegeuzwa farasi wanapandwa kwa zamu na wanafurahi kwelii
Ila ndio hivyo wanapokezanaa maumivuu

Kweli kabisa ameanza kushine kimtindo while wema anakua kibibi

Domo atavutika tu tena
 
mmh masikini peny pamoja na kumrekodi wema kipindi kile na kumsambaza kwenye mitandao na kumwambia awaache mlale lakini bado diamond amemrudia.......happy born day anyway
Penny mjinga kweli alimwamini sana Diamond,na kipindi kile anamrecord Wedimond,wema na diamond walikuwa wanaonana vizuri,eti yeye akajidai kumrecord wema ili ionekane wema anajipendekeza kwa Diwema,,Penny alifikiri anayo ya dhahabu eeeh kumdhalilisha mwanamke mwenzake namna ile.
 
Hhhahhhhajjha kumbee kwa hiyo Wema mzuri zaidiii

ki ukweli wema ana mvuto kuliko penny , wema shepu anayo na ana umbo zuri , penny wa kawaida ila anajiweka classic zaidi nawez kusema ni mrembo sio mzuri wa hvyo , ni wanawake ambao wapo level sawa kwenye usista duuh though wema kamzid penny umaarufu
 
Kachokozi hakoo kalikua kanamchonokoaa Lara kakiona moto umepunguaa kanatia petrol halaf kamemficha Excel sio mtu mzuri kabisa miss neddy

Naona uzi wa miss neddy umetolewa , safi sana ma mods timu za ajabu ajabu uko instagram , Jamii forum hakuna team humu

Naona binamu ulikuwa unajua warumi lazima ban imuhus Jana , hihiiii nilijipanga wewe , humu team wema wapo kibao , ingawa nilijitahid kusimama mwenyewe at least it was not bad , maana wangenizid sana nguvu humu ningehama kwa aibu.
 
Last edited by a moderator:

Ungeachana naooo tu mi aaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Wewe nae mbayaaa binamu, sio mtu mzuri kabisa , Jana nilikuona una like comment zao sema nkajikaza tu mwenyewe nkajifanya sijakuona

Kulike haina shida binamu au sio inamaanishaa et nimekupondaa walaaa mim nipo pote pote ndio maana niliona nikapumzikee
 
Kulike haina shida binamu au sio inamaanishaa et nimekupondaa walaaa mim nipo pote pote ndio maana niliona nikapumzikee

Safi sana , hakuna cha team umu ukiona nazingua nipe makavu tu then badae kama kawa binamu tunarud kazini.
 
hahahahaha kiboko yako Matola tu kakupa makavu live mimi mambo ya id mbili siyawezi so staki kujipa ban kuchambana bila sababu za msingi afu uzi umefutwa kwa sababu matola kakupaka shombo
 
Last edited by a moderator:

hahahaha sasa mbona unaogopa kumtaja Matola kwa link ukiona unapakwa shombo ujue kuna sehemu haiko sawa rekebisha panaporekebishika kama unajiona humuogopi mtu pia hakuna anaekuogopa pia Mods wamefuta uzi kukustiri tu aibu ikuepuke lol
 
Its too late, I hold no grudge anymore, I have said each an everything on previous thread yesterday.

There is no room for such an argument any more, hyo nafas ulikuwa nayo Jana , but naona hukuitumia ipasavyo na unais kama umeshindwa vile , its OK ndivyo ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…