mmmmh miaka 22 yule dada si kweli jaman au kadri siku zinavyozid kwenda miaka inarudi nyuma????
Penny Mbona Wa Muda Sana...Miaka Yake Nadhani Hata Sepetu na Diamond Hawampati....Ila Ndio Hivyo Tena....
Penny ni age mate na class sawa na wema tu kamaliza Cornelius girls 2006 form 4 so ni between 1988,89 or 90... Classmates zake watakuwa wanajua exactly, Wala si mkubwa kihivyo tena Wema ni mkubwa kwake.
May be kwa sababu ana sura ya kikubwa kidog, anaonekan amekomaa kimtindo
Its too late, I hold no grudge anymore, I have said each an everything on previous thread yesterday.
There is no room for such an argument any more, hyo nafas ulikuwa nayo Jana , but naona hukuitumia ipasavyo na unais kama umeshindwa vile , its OK ndivyo ilivyo.
Penny ni age mate na class sawa na wema tu kamaliza Cornelius girls 2006 form 4 so ni between 1988,89 or 90... Classmates zake watakuwa wanajua exactly, Wala si mkubwa kihivyo tena Wema ni mkubwa kwake.
Yaan Penny alivyoachwaa na Dai kawa mzurii na mremboo duuu
Yaan mi wasanii wakae mbali na mie yaan wamegeuzwa farasi wanapandwa kwa zamu na wanafurahi kwelii
Ila ndio hivyo wanapokezanaa maumivuu
Amen binamu , I hope umeshinda salama.
sa Wema anashindwa nini kuwa mpole kwa Kajala........
Penny mjinga kweli alimwamini sana Diamond,na kipindi kile anamrecord Wedimond,wema na diamond walikuwa wanaonana vizuri,eti yeye akajidai kumrecord wema ili ionekane wema anajipendekeza kwa Diwema,,Penny alifikiri anayo ya dhahabu eeeh kumdhalilisha mwanamke mwenzake namna ile.
Sidhani kama huyu kaachana na domo tutakuja kuyasikiaa mbelenii
Katulia sana kama hayupo, waswahil wanasema kimya kingi kina mshindo..
Na siku ndomo akimuacha wema atakoma hayo matusi , kwanza nahis ataambiwa amrudishie wema tuzo coz bila yeye asingezipata kama wanavyodai
Hizo tuzo zitaleta mambo makubwa uko mbelen labda ndomo atulie kwa wema la si hvyo tuzo zote ataziona chungu , atajuta kwa nn alizipata wakat yupo na wema , sasa ivi ni mapema mno kuelewa