Hapa anazungumziwa penny na wema ya kajala yametokea wapi tena.
hahahaha unajipa moyo nimeshindwa eeeeeh tufunike kombe tu amani iwepo kati yetu
kwani jana mlikuwa kwenye mashindano enheeeeeee
My Instincts tell me She is older than them
Labda kwakuwa nimemjua penny kabla ya Diamond Na Wema.....Kwakuwa Sina Cheti Chake Cha Kuzaliwa Basi Niishie Hapa na hiyo miaka ndio imezidi kunitatanisha...
Penny Mbona Wa Muda Sana...Miaka Yake Nadhani Hata Sepetu na Diamond Hawampati....Ila Ndio Hivyo Tena....
swali au maelezo!!!!!!!!!!!!!
Jibu unalo. Jaza.
hahahaha tulikuwa tunashindana bila majaji
Etii eeeeh next time utakuwa wa kwanzamngejua mngeniita