Jiranii. Vipi wabondei hawajamboWakati bibi yangu kule Muheza, miaka 90 tulikuwa tunamkokea moto aote. Usishine na mwenye pesa.
Hivi nani anachukua huyu mrembo[emoji12]
Abeeeee, Ni masikio yanguMalkia Elizabeth yupo madarakani toka 1952 na naskia hajawahi kurudia nguo wala mapambo yake kama heleni, cheni.
Happy bday Malkia.
hahaha hivyohivyoAbeeeee, Ni masikio yangu
Au nimekusikia vibaya jamani, yeuwiiiiii
Jaman jaman yeuwiiiiihahaha hivyohivyo
Kwa kifupiDah!! Huyu Bibi ingekuwa ndo Africa; Prince Charles angeam-mind kishenzi manake bibi kagoma kuachia crown!!
Ila si wanasema wenyewe kua mama kamwekea kauzibe jamaa maana kaoa mmarekani? Hata hivyo hiyo picha ya kwanza ipo very strategic, maana imepigwa na malkia na wafalme wa baadae wa uingereza...Umeona enh!! Mwafrika akubali kuzeeka na kutokalia kiti wakati anakiona hivi hivi kinamtazama kiulainii! Kama asinge-restisha in peace kabisa angetoa dozi ambayo ingemfanya aachie kiti!
Ndio maana hawezi kanyaga Bongo shauri ya ule moto.Maza mchawi sana huyu.The matron of freemason in the world
Yeye ni Ceremonial tu.dah hv majukumu ya malkia tena mzee kama hvo ni yapi? nazungumzia yale yanayohusisha akili kwa ajili ya jamii yake.
Moto gani?Ndio maana hawezi kanyaga Bongo shauri ya ule moto.
Hail to the Queen!!
Kabla ya Tanganyika kupata UHURU wimbo wa Taifa ulikuwa na maneno yafuatayo....Salaamu malkia mfalme wa nchi hiii............