Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Mdogo wake Mugabe. Walimtesa Sana Mzee Mugabe,lakini bado anawapeleka puta hao kiti-Moto. Waafrika vinasaba vyenge kuliko hao mnaowasifu.
 
Dah!! Huyu Bibi ingekuwa ndo Africa; Prince Charles angeam-mind kishenzi manake bibi kagoma kuachia crown!!
Kwa kifupi
Crown haitakwenda kwa Charles...itakwenda kwa William
Charles hawezi kuwa mkuu wa church of England kutokana na mitihani aliyopata kwenye ndoa zake.
 
dah hv majukumu ya malkia tena mzee kama hvo ni yapi? nazungumzia yale yanayohusisha akili kwa ajili ya jamii yake.
 
Umeona enh!! Mwafrika akubali kuzeeka na kutokalia kiti wakati anakiona hivi hivi kinamtazama kiulainii! Kama asinge-restisha in peace kabisa angetoa dozi ambayo ingemfanya aachie kiti!
Ila si wanasema wenyewe kua mama kamwekea kauzibe jamaa maana kaoa mmarekani? Hata hivyo hiyo picha ya kwanza ipo very strategic, maana imepigwa na malkia na wafalme wa baadae wa uingereza...
 
Back
Top Bottom