Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Kwa kifupi
Crown haitakwenda kwa Charles...itakwenda kwa William
Charles hawezi kuwa mkuu wa church of England kutokana na mitihani aliyopata kwenye ndoa zake.
Hii taarifa yako ilinishangaza kidogo kwahiyo nikaamua kupekua pekua kutoka reliable media sources! Nilichoona, hoja kwamba hawezi kuwa crowned haijazunguumzwa popote isipokuwa wote wanaonesha Charles bado yupo kwenye foleni.

Will Prince Charles ever become king?

For endlessly waiting Prince Charles, it might be good not to be the king

Charles is acting as shadow king, but will William take on his role?

Will Prince Charles ever become Monarch of the United Kingdom? - Quora
 
Ila si wanasema wenyewe kua mama kamwekea kauzibe jamaa maana kaoa mmarekani? Hata hivyo hiyo picha ya kwanza ipo very strategic, maana imepigwa na malkia na wafalme wa baadae wa uingereza...
Nimeweka very reliable media source tatu hapo juu ikiwa ungependa kufahamu chance ya yeye kuwa King!
 
Hii taarifa yako ilinishangaza kidogo kwahiyo nikaamua kupekua pekua kutoka reliable media sources! Nilichoona, hoja kwamba hawezi kuwa crowned haijazunguumzwa popote isipokuwa wote wanaonesha Charles bado yupo kwenye foleni.

Will Prince Charles ever become king?

For endlessly waiting Prince Charles, it might be good not to be the king

Charles is acting as shadow king, but will William take on his role?

Will Prince Charles ever become Monarch of the United Kingdom? - Quora
INAWEZEKANA...KWA SABABU HII NI MOJA YA FAMILIA PROBLEMATIC DUNIANI......KUNA BABU YAO...ALIPIGA MARUFUKU UKATOLIKI NA KUANZISHA UANGLIKANA SABABU PAPA WA WAKATI HUO ALIMNYIMA KUOA MKE MWINGINE...KUTOKANA NA KWAMBA MKE WAKE ALIKUWA NA SHIDA KWENYE UZAZI.....
KUTOKANA NA KASUMBA ZAO, CHARLES BADO ANA UWEZO WA KUWA MFALME.......KAMA AKITAKA.......Prince Charles is presently heir to the British throne. He will not become king until his mother, Queen Elizabeth, abdicates (gives up the throne), retires or dies. When either of these happen, Prince Charles may abdicate and pass the throne to his eldest son Prince William.
 
kwa mawazo kama haya waafrika tuna kazi sana ya kufika/compete na nchi za ulimwengu wa kwanza.
Tatizo la muafrika kama wewe husomi vitabu.we unafikiri tunakurupuka tu na kuja kucomment hapa?Sasa kwanini nipoteze muda na wewe?Kama hujui ungeomba uambiwe ni nini kinaendelea.Shida sana toka mzungu alivyoficha knowledge kwenye vitabu
 
Kizazi cha mtu mweusi kimegoma kutoka ndani ya ukoo wa Kifalme wa Uingereza, hope huyo Coloured atakuwa Princess Charlotte kutoka kwenye kizazi cha Black Queen wa UK, Queen Charlotte
Mkuu Kituko mbona mimi naona wote weupe??Kwani huyo mweusi Charlote yukwapi?
 
Mkuu Kituko mbona mimi naona wote weupe??Kwani huyo mweusi Charlote yukwapi?
Kaka sijasema kuna mtu mweusi hapo, bali ni Coloured, chotara, mchanganyiko wa mtu mweusi na Mweupe, na nikasema lazima atakuwa anatoka kwenye damu ya Queen Charlotte wa UK, aliyekufa kama karne mbili zilizopita ambaye alikuwa mweusi
 
mnamshangaa huyo malikia ,mumewe prince philip ana miaka 94 na yuko fit
 
2C84110200000578-0-image-m-30_1442709690696.jpg

Assume.....Hawa ni Wa Tanganyika....Je? Kijana angeweza kumsikiliza babaye kwa nidhamu hivi?....Au kijana ungekuta keshakuwa teja?
 
Back
Top Bottom