Loh! Kumbe hii ndiyo siku ambayo laana kwa Watanganyika ilianzia! Bila ya tukio lake la kuzaliwa siku kama ya leo, basi binadamu wale zaidi ya 10,000 aliowaua, wengi wao, kama si wote, wangekuwa wanaishi.
Hakika kuzaliwa kwa baadhi ya watu huwa ni baraka, lakini kuzaliwa kwa baadhi ya watu, kama huyu wa kwetu, inakuwa ni laana kuu!