Happy birthday Rais Samia Suluhu, umeupiga mwingi 2025

Loh! Kumbe hii ndiyo siku ambayo laana kwa Watanganyika ilianzia! Bila ya tukio lake la kuzaliwa siku kama ya leo, basi binadamu wale zaidi ya 10,000 aliowaua, wengi wao, kama si wote, wangekuwa wanaishi.

Hakika kuzaliwa kwa baadhi ya watu huwa ni baraka, lakini kuzaliwa kwa baadhi ya watu, kama huyu wa kwetu, inakuwa ni laana kuu!
 
Heri ya Kuzaliwa SSH.

Tuliozaliwa January mwaka wetu huu.
 
Happy birthday mama yetu kipenzi!
 

Attachments

  • IMG-20260127-WA0003.jpg
    109.4 KB · Views: 19
  • IMG-20260127-WA0001.jpg
    164.5 KB · Views: 23
Happy birthday mama yetu kipenziπŸ™
 

Attachments

  • IMG-20260127-WA0001.jpg
    164.5 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…