Happy Birthday Sakayo.

Ndo maana nawapenda jamani....

Mlikuwa mnamsubiri baby girl azaliwe...

Nakupenda my wii, mlinde T wangu
Usijali my. Ndio mana mpaka sasa kaka T hajaamka kwa jinsi alivyosubiria siku mpya.

Zamu yangu leo keki wapi?[emoji23] [emoji23]
 
Wewe si ulishatutenga kisiasa bwana. Mzee mwenzangu aliomba kila aina ya msamaha lakini wapi.

Ila nikuambie tu ujazwe mapenzi haba.
Yamekuwa hayooo tena...

Nilimwambia hakuna awali mbovuu bhana, babu ni wangu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…