Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji85] [emoji85] [emoji85] ila bamdogoTatizo lako haulali unamchungulia bamdogo wako. Hizo dhambi unazobeba sikusafishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] ila bamdogoTatizo lako haulali unamchungulia bamdogo wako. Hizo dhambi unazobeba sikusafishi
Mbona Shunie anapafahamu? Kwa nn anakataa kuja muulize vizuri kipi kilimsibu alivyokuja hadi hataki kurudiHahaha
Usiwape bhana, au mpe boda boda ailete
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Oouh.
Hapa nafukuzwa kisiasa
usiniambie ni mabayaHahaha
Mafuta Hapana aisee
Usijali my. Ndio mana mpaka sasa kaka T hajaamka kwa jinsi alivyosubiria siku mpya.Ndo maana nawapenda jamani....
Mlikuwa mnamsubiri baby girl azaliwe...
Nakupenda my wii, mlinde T wangu
Shida nini mama sema![emoji85] [emoji85] [emoji85] ila bamdogo
Nguvu za niniiii?Uuwii [emoji134] [emoji134] [emoji134] . Ivuga usinitafutie ngumi mie sina nguvu ujue.
Za asubuhi nzuri sijui kwako.
Alifanyaje kwani....hahhaha nilicheka sana aisee
Za kupigana? [emoji124] [emoji124]Nguvu za niniiii?
Yamekuwa hayooo tena...Wewe si ulishatutenga kisiasa bwana. Mzee mwenzangu aliomba kila aina ya msamaha lakini wapi.
Ila nikuambie tu ujazwe mapenzi haba.
Si kwasababu siwezi kuwajibu.Alifanyaje kwani....
Sijui kwa nini watu wanamuoneaga hivyo Daby... Mbona yuko peace sanaa
akwendreeeWewe si ulishatutenga kisiasa bwana. Mzee mwenzangu aliomba kila aina ya msamaha lakini wapi.
Ila nikuambie tu ujazwe mapenzi haba.
Punguza Uchoyo Jamaniiiindiwooo hivi hukumbuki hawapati kitu
OoohUngekuwa hiyo redstone nyingine niliyotaja ningekuja
Hapo sawa. Agiza supu ya upupu popote ulipo deni waandike jina la babuYamekuwa hayooo tena...
Nilimwambia hakuna awali mbovuu bhana, babu ni wangu tuu
KabisaaBabu atakua kapata mtu kamteka
Kaone. Uso mkavu kama mgongo wa mambaakwendreee