Asante dadake, utuombee jamaniBora ume appreciate duuuh, wa hivi wako wachache.
Again Congrats
HahahaBaba D hiyo S ni sakayo au safina
Nimemtuma toka asubuhiTuanzie wapi kugombana ...ndo naona now mdogo wako ajanambia kuwa leo wazaliwa
UsimteteeMh umeanza lee ujue sio mtembeaji
HahahaMke wa pedeshee lee muntu ya peremende ...
Nilikutuma lakini
Ntokee hapaHhaha hivi si ulisema utawawekea kisingeli au umesahau
Kwakweli nimeomba na kusema Mungu awe nanyi. Hiyo maneno masuri hivyo sio ya kuipotesa arifu[emoji8] [emoji12]Asante dadake, utuombee jamani
Acha kujiteteaMwambie yaan kwanza imekuwa bahat
Yaani nyie akili zenu sio za nchi hiiNakumbukaaa....
Sasa tukiingiaa na haina ushemejii na mm pedeshee peremende sii watu watagunaaa...hiyo tunaifanya suprises
Ndio dadake, ni neema kwa kweeli...Kwakweli nimeomba na kusema Mungu awe nanyi. Hiyo maneno masuri hivyo sio ya kuipotesa arifu[emoji8] [emoji12]
Naweka pichaaaaNtokee hapa
Ulinitumia niniiiiiNilikutuma lakini
Sio kumtetea huo ni ukweli au kuna sehemu huwa mnakutana dadaUsimtetee
Huu uongoo acha niweke picha tuNimemtuma toka asubuhi
Shunie Nakupenda mwayaNaweka pichaaaa
Sio changamoto Dada angeniita jina lote tu shunieHahaha
Wewe ni changamoto
Nilikutuma umwambie LeeUlinitumia niniiiii
Kuna mahali NimemuonaSio kumtetea huo ni ukweli au kuna sehemu huwa mnakutana dada
Ulinituma kuwa nimwambie mna ugomvi lakini nilimjibiaNilikutuma umwambie Lee