Happy Birthday Sakayo.

Happy Birthday Sakayo.

Pedeshee mutu muchoyo
88183373439fa996b67c9a89d29cbe13.jpg
 
Heri ya siku ya kuzaliwa auntie!!
Mungu akujaalie kila lililo haja ya moyo wako, ila kwa mapenzi yake.

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Asante antie...

Nawe pia barikiwa na Mungu akutunze.....

Hivi Tumegombana anti
 
Auntie si unajua uzee tena!! Nilisahau kabisa kama leo ni j2, kwanini hukuniita? Nisamehe bure. Mkwe nae ajiandae kwa fine maana hakunistua.
 
Jamaniiii anti akee...

Basi Sawa tuu
 
Back
Top Bottom