Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Love you auntie[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Jamaniiii anti akee...
Basi Sawa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love you auntie[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Jamaniiii anti akee...
Basi Sawa tuu
Mkwe hiki sio kisingizio kabisa!!Ulizima simu mama mkwe!
Love you more antieLove you auntie[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Aseme tuu ukweliMkwe hiki sio kisingizio kabisa!!
Asante alibakari...Happy birthday Sakayo Nsa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe wengi tumezaliwa mwezi huu![]()
Jipongeze na Popcorn
Kumbe ni couple anyway hbdJamaniiii.... Sijui hata niseme nini kwa kweeli....
Ila nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo na kubwa zaidi kuniletea mtu wa pekee sanaa kwenye maisha yangu.... Transcend wa Sakayo baba D wangu Mungu akutunze tuwalee kina D vyema!!!!
Asante mnoo
Asante mkuuKumbe ni couple anyway hbd
Hivi transcend mkuu unaweza vipi kumudu kuwa jf Na sakayo,maana MTU anaweza akaropoka.Ulizima simu mama mkwe!
Wala haina shida mbona, ila kuna wakati huwa anapanic kweli lakini akikumbuka utani wa humu anakuwa mpoleHivi transcend mkuu unaweza vipi kumudu kuwa jf Na sakayo,maana MTU anaweza akaropoka.
Aisee stunted hebu piga interview hii couple!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maana watu kama saint ivuga kukuambia "silali nakuota hawachelewi!!Wala haina shida mbona, ila kuna wakati huwa anapanic kweli lakini akikumbuka utani wa humu anakuwa mpole
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] maana watu kama saint ivuga kukuambia "silali nakuota hawachelewi!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahaha
Hayo ya kawaida mnoo
Kawaida mkuu!Hivi transcend mkuu unaweza vipi kumudu kuwa jf Na sakayo,maana MTU anaweza akaropoka.
Aisee stunted hebu piga interview hii couple!
Du mkuu kwa hiyo unayachukuliaje maisha ya jfKawaida mkuu!
Mimi na sakayo tunajifunza kuface challenge...kama ukiogopa changamoto basi utakosa kujua na kujifunza mengi..
The only thing ni kwamba tunajua maisha ya jf na maisha halisi..
Cc: sakayo
Sakayo lini jamaa alipatwa Na wivu hadi ukashangaa sababu ya jf,ilikuaje kisa chakeHahaha
Hayo ya kawaida mnoo
Ila watu kufikia kutafuta wenzi humu! ina maana jf inaaminika tofauti Na mtazamo wako mrYako pouwa kama mtu unajua kwanini unapaswa kuwa jf...otherwise humu utapotea tuu [emoji3]
Na huo ndo ukweli.... Changamoto ni lazima ziwepo na kupambana nazo ni lazimaKawaida mkuu!
Mimi na sakayo tunajifunza kuface challenge...kama ukiogopa changamoto basi utakosa kujua na kujifunza mengi..
The only thing ni kwamba tunajua maisha ya jf na maisha halisi..
Cc: sakayo