Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Yapo mengi mnoo...Sakayo lini jamaa alipatwa Na wivu hadi ukashangaa sababu ya jf,ilikuaje kisa chake
Ila yanapita tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo mengi mnoo...Sakayo lini jamaa alipatwa Na wivu hadi ukashangaa sababu ya jf,ilikuaje kisa chake
Hebu eleza changamoto kubwa uliyokutana Nayo jfNa huo ndo ukweli.... Changamoto ni lazima ziwepo na kupambana nazo ni lazima
Thanks KORBOTOHappy birthday Sakayo
Amkia basi mkwe!Mkwe uko pouwa lakini?
Eti anasingizia simu kutopatikana kweli kabisaaaa!!Aseme tuu ukweli
Mbona mie nilikupataEti anasingizia simu kutopatikana kweli kabisaaaa!!
Marahabaaaa mkwe!!Shikamoo mkwe!
Si ndio maana nimemwambia atafute kisingizio kingine!!Mbona mie nilikupata
Mmmh!! Mkwe una uhuru ila noti tu zati eksitenti!!Kesho mama..[emoji125]
Na kweeli aseme ukweli sasaaSi ndio maana nimemwambia atafute kisingizio kingine!!
MmmmhKesho mama..[emoji125]
Usimdanganye mama bhanaUnataka mama mkwe azimie eeh? [emoji3]
Afu hukupaswa kusema! Yaani nikisema kesho haimanishi kuwa kesho unarudi kweli...
Hahaha yeahHahahaa!
Manake kesho wanaweza kututoa font fedi..
Anti nitarudi jumapili kiukweliMmmh!! Mkwe una uhuru ila noti tu zati eksitenti!!