Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Asante kaka....
Upogo kweli, harakati za kusaka warembo zimekufanya uwe mbali na upeo wa macho yangu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Asante kaka....
Upogo kweli, harakati za kusaka warembo zimekufanya uwe mbali na upeo wa macho yangu....
tunakupenda pia ivuga jamanKumbe.
Sawa shunnie.
Nakupenda shunie pia.
[emoji2] [emoji2] hakujuiiiiiSawa kaka, iko wapi vilee
Akikujibu niitewapi hukoo
nipo rafiki si unajua ninapopatikana huko lazima unikute unaendeleaje lakiniRafiki nipo, siku hizi umenitupa mbali sana mwana wa mtu!!!
MmmmhIpo geto. Mtume shuniie aje aichukue. Mwambie aje mwenyewe
Yaaaaaani.wapi hukoo
Wewe wa kwa mwaposa na mzee wa madude.kwahiyo mmeanza ubaguzi wote si wa moja? [emoji2] [emoji2] nimecheka aisee ndio mana sijakujibu tena nilishangaa ujue au nimekuwa paw wa 2 bila kujijua ujue cheo kikubwa hiki yaan msiombee nitawapa ban kila siku
ngoja kwanza niwatafute inna na relatoIpo geto. Mtume shuniie aje aichukue. Mwambie aje mwenyewe
Huyu anaila kweli. Umeona roho ilivyomtokaaa alivyosikia kekiMmmmh
Shunie ataikula bhana
Aisee leo nitakuwa Redstone, mida ya usiku... Ila lunch ni SalsaneroLeo wapi sasa sio unajiongelesha jiongelesha tu. Sema wazee tunapoenda kupata vitu
kweli pesa haitamuacha mtu salama nenda kwa bhakhresaHahaha
Ongea taratibu basiii
Sielewi ujuekwahiyo mmeanza ubaguzi wote si wa moja? [emoji2] [emoji2] nimecheka aisee ndio mana sijakujibu tena nilishangaa ujue au nimekuwa paw wa 2 bila kujijua ujue cheo kikubwa hiki yaan msiombee nitawapa ban kila siku
Nenda kaichukue bhasitunakupenda pia ivuga jaman
Afu usiwataje taje sana.ngoja kwanza niwatafute inna na relato
Umeonaee[emoji2] [emoji2] hakujuiiiii
mbona yako ulitukimbia na cake yako we na bonny me ndio muongeaji hapaLeo wapi sasa sio unajiongelesha jiongelesha tu. Sema wazee tunapoenda kupata vitu
Yaani huyooo na keki humuweziiiYaaaaaani.
Umekuwa dada yangu rasmi. Nina dada wengi kiuhalisia.
Moja ya sifa yao kubwa wakisikia keki. Roho zinawatoka hata kanisani wanaweza wasiende. Akiki zinawatukaa kabisaa.
Roho ilivyokutoka typical kama wao. Usje ukawa ww ndio my sister manake yupo Jf afu sijui anatumia id yangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mchonganishi upo?[emoji43][emoji43][emoji43]