Happy Birthday Sakayo.

Happy Birthday Sakayo.

wapi hukoo
Yaaaaaani.
Umekuwa dada yangu rasmi. Nina dada wengi kiuhalisia.
Moja ya sifa yao kubwa wakisikia keki. Roho zinawatoka hata kanisani wanaweza wasiende. Akiki zinawatukaa kabisaa.
Roho ilivyokutoka typical kama wao. Usje ukawa ww ndio my sister manake yupo Jf afu sijui anatumia id yangu
 
kwahiyo mmeanza ubaguzi wote si wa moja? [emoji2] [emoji2] nimecheka aisee ndio mana sijakujibu tena nilishangaa ujue au nimekuwa paw wa 2 bila kujijua ujue cheo kikubwa hiki yaan msiombee nitawapa ban kila siku
Wewe wa kwa mwaposa na mzee wa madude.

Yaani nilitaka ujibu vibaya tu nikuonyeshe.
 
Yaaaaaani.
Umekuwa dada yangu rasmi. Nina dada wengi kiuhalisia.
Moja ya sifa yao kubwa wakisikia keki. Roho zinawatoka hata kanisani wanaweza wasiende. Akiki zinawatukaa kabisaa.
Roho ilivyokutoka typical kama wao. Usje ukawa ww ndio my sister manake yupo Jf afu sijui anatumia id yangu
Yaani huyooo na keki humuweziii
 
Back
Top Bottom