Happy Birthday Sakayo.

Happy Birthday Sakayo.

Jamaniiii.... Sijui hata niseme nini kwa kweeli....

Ila nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo na kubwa zaidi kuniletea mtu wa pekee sanaa kwenye maisha yangu.... Transcend wa Sakayo baba D wangu Mungu akutunze tuwalee kina D vyema!!!!
My life is incomplete without you..

You are so special to me!


Mke mwenye busara zake! Mke mwenye moyo wa upendo..!

Love youu my omotola!
 
Back
Top Bottom