Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahha kweli ujue [emoji2] [emoji23]Hahaha. Wewe ni chizi
nakupenda pia jamaanNdo maana Nakupenda buree
SitakiiiiSadaka. Mpe sakayo 5000 ubakie na 5000
[emoji123][emoji123][emoji111]Hommie..
[emoji120][emoji120]
T wanguHahaaa!
Mshana jr ulikuwa na usingizi eeh?
Huyu achana naye leo si bethdei bwana kesho tutamkumbushia.sakayo anakana
Thanks vio... Mie pia Nakupendaga....Happy birthday Sakayo.....nakupendaga. Blessings sis
nimeshamuwish history yake inasikitishaMuwish hata saivi basi
na wakiwowana wafanyaje tenaHaha haya kila la kheri. Shida yangu muwowane tu
My life is incomplete without you..Jamaniiii.... Sijui hata niseme nini kwa kweeli....
Ila nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai mpaka siku hii ya leo na kubwa zaidi kuniletea mtu wa pekee sanaa kwenye maisha yangu.... Transcend wa Sakayo baba D wangu Mungu akutunze tuwalee kina D vyema!!!!
Kuwowana huko vipiHaha haya kila la kheri. Shida yangu muwowane tu
ndiwooo unachomfanyia ni kizuri sasaJamaniiii
Mbona hivyo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nikipasuka je. Mama klaree si watamfaidi
HahahaNikipasuka je. Mama klaree si watamfaidi
sio vizuri ujue unavyomfanyia ukimwacha tutaandamana makapuku woteHahaha
Yaani mtoto wa watu hajalala jamani
ukujeHahaaa..
Nitakuja kumuona D baadaye
Yupo kwenye profile ya LeeHahaaa..
Nitakuja kumuona D baadaye
ndogo tunagawanaje elf 5Hela