@Asprin ukuje hukuNdiwooo la moyoni kabisa
MmmhKesho tena sitaki zilizolala
Ameen kaka ubarikiweNimewaza cha kuandika ila nikakaumbuka shunie kaandika kila kitu
Mimi niseme tu uarafiki ni zawadi tunayo pewa na mungu
Undugu ni muunganiko wa urafiki
Kuaongeza miaka hakukupi unafuu wa furaha ila unakupa funzo namna ya kuishi na wengne
Na kufanya ibada zaidi ya uliko toka na kuongeza juhudi za toba zaidi
Kuongeza miaka sio sherehe ila darasa huru na kumbukumbu ya uliko toka
Chukua muda wakutafakari nini itende nini uaache maana duniani tu wapitaji kama tunavyo soma katika vitabu vya imani zetu
Mi niseme tu mungu akuongezee miaka ya kutosha ili uweze kujifunza zaidi na wengne wajifunze kwako na uwe sehemu ya historia ya wengne kwa mema watakayo jifunza kwako
Hongera ya kuongeza miaka
UwiiiiiHahhahaha
Muhusika ni mimi
Unapajua banaUsimsikilize insta babe mm napajua wapi huko anaposema
AiseeeHahahahaa!mkwe wangu najua huwezi kunichunia
Wapi huko etiDuh!pole mkwe,bhas nikajua ndo nishachuniwa!
Shangaa na weweHahahahaa watu mnataka picha tu
Kwahiyo bila picha hamuwezi tangaza ndoa
Amen dadakeAmeen kaka ubarikiwe
[emoji3][emoji3]Yes yes tunataka tu zoom kwanza bwanaHahahahaa watu mnataka picha tu
Kwahiyo bila picha hamuwezi tangaza ndoa
Hahaha hahaha hahahaHahahhaha sasa nani mwingine utamshtakia kwa sakayo kama sio mimi
Hilo ndo lamsingiEbu ngoja kwanza to a zawadi kwanza
Uishi sana..Nishakununulia mkongojo wako pia..Ukifika 90yrs tuma mjukuu aje kuchukuaAwww
Asante sana jamani! Ndo maana nakuhamu