Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Wacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usiku😀😀😀😀😀😀😎😎😎😎
Hahhahahaah nimecheka sana
 
Happy belated birthday dada yake Shunie. Sakayo Hiyo keki ni kwa udhamini wangu japo hajasema
[emoji134][emoji134][emoji134] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sponsor kaamu kujitaja
 
Back
Top Bottom