Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
- Thread starter
- #241
Hahhahahaah nimecheka sanaWacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usiku😀😀😀😀😀😀😎😎😎😎